Sauti Sol ni wanamusic wa kipekee...

Sauti Sol ni wanamusic wa kipekee...

wasanii wetu wengi wanaimba ujinga

eti"Mama navua nguo,huwezi,navua nguo huwezi"..wiki mbili tu wimbo ushakinaisha watu..ujinga mtupu,japo ndo wanasema soko linataka hivi

Hawa Sauti Sol nawafuatilia wayback kipindi cha Gentleman na Still the one..I really enjoy their music
 
Kuna ule "La Aziziiiiiii wangu we.....
 
wasanii wetu wengi wanaimba ujinga

eti"Mama navua nguo,huwezi,navua nguo huwezi"..wiki mbili tu wimbo ushakinaisha watu..ujinga mtupu,japo ndo wanasema soko linataka hivi

Hawa Sauti Sol nawafuatilia wayback kipindi cha Gentleman na Still the one..I really enjoy their music

Still The One bado naifeel mpaka leo. Pia Sauti Sol wako vizuri stejini nilibahatika kuwaona kwa blankets&wine festival pale Nairobi. Wako fiti.

Sauti Sol wanajituma.

Sema kuna jamaa huwa anatoa SAUTI yote wakati wa kuimba utafikiri Mwongoza Gwaride La Askari au Anaita Mtu Mtaa Wa 6.

Balaaa
 
Kwa hao watu ni hatari sana kibongobongo tukasome(kwa wanaojua muziki lakini)
 
Binafsi huwa nawaelewa sana hawa jamaa ni wabunifu sana. Extravaganza, Isabela, Kuliko jana na Short n sweet baadhi ya nyimbi zao ninazokubali

Sent using Jamii Forums mobile app
sauti sol ni wajuvi haswaa kwenye mziki na ni wabunifu sana na wana -maintain umoja wao which is good kwa kwetu hapa kiukweli sijaona wa kufanana nao.
 
Hawa jamaa wana miaka zaidi 15,bado wapo pamoja,wangekuwa wengine washavunja kundi kila mtu na biashara zake.

Walikuwa wanahojiwa na Trace kila mtu peke yake kwa muda tofauti,kila mmoja akaulizwa jeje mnampango wa kila mtu kutoa project zake binafsi,kila mtu alitoa majibu yanayo fanana kwamba hawataweza kwani wameshajizoesha kufanya mziki pamoja.
 
wasanii wetu wengi wanaimba ujinga

eti"Mama navua nguo,huwezi,navua nguo huwezi"..wiki mbili tu wimbo ushakinaisha watu..ujinga mtupu,japo ndo wanasema soko linataka hivi

Hawa Sauti Sol nawafuatilia wayback kipindi cha Gentleman na Still the one..I really enjoy their music

😂😂😂😂😂
Hata wabongo tunajitahidi mkuu japo sauti sol wapo njema sana. lyrics, vocals na videos zao ni epic

toka enzi za coming home, soma , still the one hadi extravaganza ni transformation inaonekana na ndio maana Hawaboi.

I wish yamoto ingeendelea pengine ingetoa upinzani lakini figisu za bongo sio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wabongo tunajitahidi mkuu japo sauti sol wapo njema sana. lyrics, vocals na videos zao ni epic

toka enzi za coming home, soma , still the one hadi extravaganza ni transformation inaonekana na ndio maana Hawaboi.

I wish yamoto ingeendelea pengine ingetoa upinzani lakini figisu za bongo sio
Yani uko mawazoni kwangu
nikiwaona sauti sol nawakumbuka sana Ya moto band.. Walijua kuimba na kutrend sijui shetani gani aliwakuta wale vijana
 
Pesa pesa na figisu za mziki. Hawa walianza kupata nominations za nje na kupiga live shows successfully ila kama kawaida yetu.kizuri hakidumu
 
na waliteka soko maana hadi wazee wetu walikua wanawapenda.
yani nikiwaonaga nasikitikaga sana.
 
Back
Top Bottom