Sauti Sol: The Most Underrated Band

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Nimekaa nikasema niwasikilize Sauti Sol vizuri,
Nikiri kwa kusema kwamba hawa jamaa uwezo wao siyo wa kawaida lakini hawapati mapokezi yanayowapasa hapa Afrika. Sijui nini kimewakuta ndugu zatu Wakenya siku hizi hamuwapaishi wasaniii wenu kama zamani. Kenya kuna vipaji vingi sana sanaa vikubwa, lakini sijui kwanini havisikiki jamani ??? Mimi napenda Muziki sana na hasa ule wa Kenya ndiyo kabisaa..Lakini wale wasanii wazuri siwasikii mpaka nihangaike saana.

All in All BIG UP sana kwa Sauti Sol.......
 
Shida ya wakenya ni kuwa they don't promote their own artists but instead they're obsessed with foreign music.
 
Sauti Sol huwa siwachoki kwenye One and Only na ile wamemshirikisha Ali kiba!.
These guys are underated kwakweli!..
 
Kuna hii ngoma wameimba na tiwa savage - girl next door mpaka sasa hivi nimegonga repeat iwe inajirudia yenyewe tu...hawa jamaa hawajawahi kuniangusha tangu niwafahamu
 
Daaah!! Wako vizuri tatizo inasemekana kwamba eti hawana malinda!!
 
Shida ya wakenya ni kuwa they don't promote their own artists but instead they're obsessed with foreign music.

We enjoy and promote good music, not everything is about blind nationalism, I can't just waste time listening to every song simply because was sung by a Kenyan, just do good music and you will win Kenyans and that's why your Diamond and Aali Kiba are raking millions of Kenyan shillings.

We love and enjoy Kenyan songs done well, Saut Sol are good and we enjoy their work, we do avoid anything short of quality. Learn to have a superior taste for good quality.
 
Shida ya wakenya ni kuwa they don't promote their own artists but instead they're obsessed with foreign music.
matatu zenyu 24/7 zinapiga riddim za wavuta bangi wa visiwa vya caribbean,what do you expect?.

ningekuwa mimi ndio boss wa kusimamia biashara ya matatu jijini nairobi, ningepitisha sheria kali ya kuzuia nyimbo za kigeni zisichezwe kwa public transport.

hii ingesaidia sana ku promote kenyan local music.mda mwingine ili mambo yasonge mbele, lazima u-dictator utumike.
 
Nawapenda awa Watu ningekua na uwezo ningewaoa wote naii ngoma yao short and sweet Ndo kabisa wananimaliza
 
Naunga mkono. Brothers wanauwezo mzuri sana wa kuimba na kutunga nyimbo nzuri. Lakini sio wakubwa kama sauti na uwezo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…