MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nimekaa nikasema niwasikilize Sauti Sol vizuri,
Nikiri kwa kusema kwamba hawa jamaa uwezo wao siyo wa kawaida lakini hawapati mapokezi yanayowapasa hapa Afrika. Sijui nini kimewakuta ndugu zatu Wakenya siku hizi hamuwapaishi wasaniii wenu kama zamani. Kenya kuna vipaji vingi sana sanaa vikubwa, lakini sijui kwanini havisikiki jamani ??? Mimi napenda Muziki sana na hasa ule wa Kenya ndiyo kabisaa..Lakini wale wasanii wazuri siwasikii mpaka nihangaike saana.
All in All BIG UP sana kwa Sauti Sol.......