Duh!saut soul ni wasanii hawa wawili ni ma entertainer
dusheleleDuh!
Hizo hit song wanazo ngapi,unaweza kuzitaja ?nyumbani kwanza!!!
navy kenzo wanatoa hit song
sauti sol wanafanya mziki mzuri, wanaamini katika kuimba sio kila mziki wao u-hit ila tu waimbe vizuri!
navy kenzo wanafanya hit song, miziki ya dance floor
wafanya biashara pia ya mziki
japo live show hawawezi..
ila wakiendelea kufanya mziki serious, wakafanya hit
natumaini siku moja watakua best group Africa kutokea Tanzania
wanaenda na wakati..wakaze buti