princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
game & kamatia chiniHizo hit song wanazo ngapi,unaweza kuzitaja ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
game & kamatia chiniHizo hit song wanazo ngapi,unaweza kuzitaja ?
Only kamatia chini ndio hit songgame & kamatia chini
afadhali ume xplainBAND NA GROUP NI VITU 2 TOFAUTI
HATA KWENYE CATEGORY ZA TUZO WANAVIPENGELE VYAOafadhali ume xplain
mimi nilikua sielewi kwanini saut sol wako tofauti...
kumbe ile ni band
wanasema choir[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
weeeh sasa mbona wamewaweka best group?HATA KWENYE CATEGORY ZA TUZO WANAVIPENGELE VYAO
Kwasababu wako zaidi ya 1 ndio maana wamewekwa kwenye group ila music wanaofanya ni Band na tofauti na ule wanaofanya Navy kenzo dance hallweeeh sasa mbona wamewaweka best group?
hawa ni kama wale Mi casa eeh