Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Jamaa wanavipaji na wanajituma sana..

Freemason kama inalipa na kajiunge wewe.. Watu wanapofanya kazi kwa bidii mkaleta habari za Freemason ni kukatishana tamaa tu.

Labda kama wewe ni mmoja wao.. Maana haiwezekani kujua hizo code zao kama sio wa kwao!
 
mleta mada bila shaka utakuwa unatumia mda wako mwingi kusikiliza mahubiri ya gwajima na mwamposa.

freemason related stories are an old news. habari inayotrend kwa sasa ni kigogo wa twitter.
hawa manabii wameharibu sana mindset za watu..sana watu wamekua kama mazezeta
 
Keep in touch with me. There's a lot to come. Umewahi sikia kuwa kuna wachawi wanamiliki ndege au treni? Ndo hilo sasa.Hadi meli kuna watu wanamiliki.
 
hawa manabii wameharibu sana mindset za watu..sana watu wamekua kama mazezeta
Guys this is too spiritual, Only spiritual people will agree with me. Next time I will come with the thread "Where does the name Diamond Platinumz" came from.
 
Hata alama za kwenye ngozi ya mwili wako ukizichunguza kwa makini huwezi kosa alama ya Freemasons.

Cheki vizuri unipe jibu, usisahau kuangalia makalio na nyuma ya miguu kwa makini
 
Hata alama za kwenye ngozi ya mwili wako ukizichunguza kwa makini huwezi kosa alama ya Freemasons.

Cheki vizuri unipe jibu, usisahau kuangalia makalio na nyuma ya miguu kwa makini
Mwili wangu unaalama za Mungu pekee.Since we were created on his image.
 
Guys this is too spiritual, Only spiritual people will agree with me. Next time I will with thread "Where does the name Diamond Platinumz" came from.

Hapo sawa mkuu japo kuna vitu vingine vinatakiwa pia kutumia common sense. Nutasubiri pia hiyo thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…