Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Embu tulia wewe.. Muujiza wa kwanza wa Yesu alibadili maji kuwa divai, sasa divai ni nin?

Usijikute upo rohoni sana.. Hata Kanyewest walimsema hivyohivyo, sababu pekee ya wao kufanikiwa ni kujituma ndugu yangu soul nimeanza kuwafatili tokea 2009 yani hata hapa walipo leo kwa juhudi zao ilitakiwa wawepo mbali zaidi..

Mziki wanaoufanya sio wa kubabaisha.. Unapo sema wanapewa mafanikio na Freemason inabidi ujitafakari ni nani mwenye nguvu kati ya Mungu na Freemason

Kwani ukifanikiwa duniani lazima uwe Freemason?.. Sio kweli hata kidogo mkuu.

Mungu wetu huwabariki wale wanaofanya kazi kwa bidii.. Na kumuamini yeye pekee.

Embu kula neno kwanza mtumishi hapo roho mtakatifu asipo shuka utaniambia[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
 
Sauti sol ninacho wakubali hawajawahi toa song mbovu na mziki wao unadumu.
 
[emoji2][emoji2] unaweza kusema kwamba haumpendi messi na watu wakakuelewa ila ukisema kwamba haumpendi kwa sababuhajui kucheza mpira itakuwa ni zaidi ya habari kweli[emoji2][emoji2][emoji2]

Wisdom will kill you my friend (in Nigerian accent) [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hatari sana... Watu wengi maarufu na matajiri wali-sha sell their souls to the devil...




Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…