Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Embu tulia wewe.. Muujiza wa kwanza wa Yesu alibadili maji kuwa divai, sasa divai ni nin?
Usijikute upo rohoni sana.. Hata Kanyewest walimsema hivyohivyo, sababu pekee ya wao kufanikiwa ni kujituma ndugu yangu soul nimeanza kuwafatili tokea 2009 yani hata hapa walipo leo kwa juhudi zao ilitakiwa wawepo mbali zaidi..
Mziki wanaoufanya sio wa kubabaisha.. Unapo sema wanapewa mafanikio na Freemason inabidi ujitafakari ni nani mwenye nguvu kati ya Mungu na Freemason
Kwani ukifanikiwa duniani lazima uwe Freemason?.. Sio kweli hata kidogo mkuu.
Mungu wetu huwabariki wale wanaofanya kazi kwa bidii.. Na kumuamini yeye pekee.
Embu kula neno kwanza mtumishi hapo roho mtakatifu asipo shuka utaniambia[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]

The Bible says"My people are perishing because of their ignorance".Hosea 4:6
Inamaana we uligemea Sauti Sol watunge wimbo unaosema njoo mpande treni twendeni Jehanamu(Hell) ili uamini kwamba wanachokifanya ni cha kishetani? Shetani ni mjanja hawezi fanya hivyo.
Mtu wa kawaida asiye na ufahamu wowote wa kimaandiko hawezi kuelewa chochote kwenye huo wimbo.
Kwa tafsiri ya kawaida utaona Sauti Sol wametunga wimbo huu wakimshuru Mungu kwa kuwazesha kuwafikisha katika nchi ya ahadi( Zion) baada kuhimili vikwazo vingi na sasa wame Rock kwenye Midnight Train wakielekea nchi ya ahadi( kuyafikia mafanikio).
Je unazani Mungu huyu wa mbinguni ndiye aliyewapa hayo mafanikio ya mziki wa dunia na kuwafikisha nchi ya ahadi wanayoitaja?
Mungu wa mbinguni hahusiki na mziki unaosifia pombe, mapenzi,ukahaba,fedha na uhuni mwingine.
Shetani ni mjanja sana.Anajua mwanadamu anahofu na Mungu anachofanya ni kumchanganya changanya ashindwe kujua kweli ni ipi. Leo Sauti Sol. watakuimbia Extravaganza,Kesho Suzanna,Kesho kutwa Midnight Train. Lakini kiini cha mziki wao unabaki pale pale kuwa ni ushetani. Ndio maana kwenye video zao utaona kuna mandhari ya disco- Club wakiwa wamezungukwa na wadada waliovaa nusu utupu. Je hiyo ndo nchi ya ahadi iliyotajwa kwenye Biblia?
Sauti Sol si wanamziki wa kwanza kuimba nyimbo na kumshukuru mungu baada ya kuyafikia mafanikio. Hapa TZ karibu kila msanii mkubwa unaemfahamu amewahi imba wimbo wa namna hiyo.
Mungu wanaemtaja si huyu tunaemfahamu sisi wote.Tambua katika ulimwengu wa Giza shetani hujiita na kujifananisha na Mungu pia.Hivyo funguka usikalili si kila ving'aavyo ni dhahabu.
Nimefurahi ulivyoambatanisha na huo wimbo wa kwaya unaosema treni ya Mbinguni. Km ambavyo kuna treni ya mbinguni vivyo hivyo kuna treni ya kwenda Jehanamu ( Kuzimu). Huwezi panda treni ya kwenda mbinguni km unaimba nyimbo kusifia ngono,wanawake,pombe,chuki uadui,fedha n.k. kinyume chake utapanda treni la kukupeleka kuzimu.
Utawezaje kupanda treni la kuzimu kwa kusikiliza nyimbo za kidunia,kufanya zinaa,ulevi, kueneza chuki, na kufanya anasa zingine km kucheza kamali n.k.
Mbinguni tunaenda kwa kufanya kinyume na niliyoyataja. Kufanya ibada,kusoma Biblia, , kuwahubiri watu waliopotea,na kutenda mambo mema kwa ujumla.
Nazani umeelewa sasa. Je upo tayari kupanda treni ya Sauti Sol Midnight Train wakupeleke kwenye nchi yao ya ahadi? Au utapanda treni la hiyo kwaya iliyoambatanisha mwishoni? Maamuzi ni yako.
Ndio maana mwanzo nilisema only Spiritual people will understand me