Sauti Sol watishia kujitoa Shirikisho la Hakimiliki baada ya kulipwa Tsh. 242,977 za Mirabaha

Sauti Sol watishia kujitoa Shirikisho la Hakimiliki baada ya kulipwa Tsh. 242,977 za Mirabaha

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Capture-og_image.webp

Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za sanaa

Sauti Sol wamehoji "Kwa nini MCSK huwa wanafanya kana kwamba wanawafanyia hisani Wanamuziki wa Kenya? Mrahaba unaokusanywa sio mapato yao bali yetu. Tutajitoa MCSK kwasababu haiwajibiki kwa faida yetu, na Msanii yeyote anayetaka kujitoa muda ni sasa.

Aprili 15, 2023, MCSK iligawa Mirabaha kwa Wanamuziki wa Kenya tukio ambalo limezua malalamiko makubwa kutoka kwa Wsanii na Wadau wa Muziki wakidai hakuna uhalisia na Uwazi wa Fedha zinazolipwa.

==============

Celebrated Kenyan music band Sauti Sol has vowed to withdraw their membership from the Music Copyright Society of Kenya (MCSK) citing displeasure over the payment of royalties.

The group took to their social media on Tuesday, calling out MCSK over poor payment of music royalties to artistes.

"Why does MCSK always act like they are doing Kenyan musicians a favour? The royalties collected are NOT their direct income but yours. They are working for you!" said Sauti Sol.

The group went ahead to call on other disgruntled artists to stand against the Music Copyright Society of Kenya.

"We are going to withdraw our membership from society as it does not serve our best interests entirely... All disgruntled members who wish to do the same, the time is now! Please reach out. Take back your power!" wrote the all-boy band.

On Saturday, April 15, MCSK distributed royalties owed to Kenyan musicians with Sauti Sol's Bien Aime taking to his Instagram account to apparently mock MCSK for sending him only Ksh.14,000.

He wondered what other upcoming artists would receive as royalties from MCSK.

CITIZEN DIGITAL
 
Mirabaha ndo iliyoua mziki wa Kenya back in the day na ndo itakayoufukia kabisa. Mirabaha kwenye nchi zetu ni useless.
 
Back
Top Bottom