cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda mnooo.Baadhi yenu bila kuchomekea hayo mambo nafsi zenu haziridhiki kabisa.
Huku wakijifanya hawataki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda mnooo.Baadhi yenu bila kuchomekea hayo mambo nafsi zenu haziridhiki kabisa.
Mm siwezi kukaa na kuwasikiliza haoBaadhi yenu bila kuchomekea hayo mambo nafsi zenu haziridhiki kabisa.
Kuna mtu anawaponda sana mashg[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda mnooo.
Huku wakijifanya hawataki
Hakimiliki ni janga kubwa Afrila Mashariki.![]()
Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za sanaa
Sauti Sol wamehoji "Kwa nini MCSK huwa wanafanya kana kwamba wanawafanyia hisani Wanamuziki wa Kenya? Mrahaba unaokusanywa sio mapato yao bali yetu. Tutajitoa MCSK kwasababu haiwajibiki kwa faida yetu, na Msanii yeyote anayetaka kujitoa muda ni sasa.
Aprili 15, 2023, MCSK iligawa Mirabaha kwa Wanamuziki wa Kenya tukio ambalo limezua malalamiko makubwa kutoka kwa Wsanii na Wadau wa Muziki wakidai hakuna uhalisia na Uwazi wa Fedha zinazolipwa.
==============
Celebrated Kenyan music band Sauti Sol has vowed to withdraw their membership from the Music Copyright Society of Kenya (MCSK) citing displeasure over the payment of royalties.
The group took to their social media on Tuesday, calling out MCSK over poor payment of music royalties to artistes.
"Why does MCSK always act like they are doing Kenyan musicians a favour? The royalties collected are NOT their direct income but yours. They are working for you!" said Sauti Sol.
The group went ahead to call on other disgruntled artists to stand against the Music Copyright Society of Kenya.
"We are going to withdraw our membership from society as it does not serve our best interests entirely... All disgruntled members who wish to do the same, the time is now! Please reach out. Take back your power!" wrote the all-boy band.
On Saturday, April 15, MCSK distributed royalties owed to Kenyan musicians with Sauti Sol's Bien Aime taking to his Instagram account to apparently mock MCSK for sending him only Ksh.14,000.
He wondered what other upcoming artists would receive as royalties from MCSK.
CITIZEN DIGITAL
Akili mgando hizi halafu wengi wenu ni wanafki tuMm siwezi kukaa na kuwasikiliza hao
[emoji304]
Na kwa yoyote anaowafatilia basi anaunga mkono upinde [emoji1]
Ova
Ni ushamba tu, sasa anaprove kwa nani kua yeye sio upinde, no need to say it kila mda kama wewe sio upinde kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda mnooo.
Huku wakijifanya hawataki
Mejja okonkwo atakuwa anapata Tsh afu tatu.Mejja sijui atatakuwa anavuta kiasi gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu anawaponda sana mashg
Ila kutwa akikaa anasikiliza miziki ya sauti,sasa namuambia we hujuwi kama hao upinde
Ova
HaswaaaaahNi ushamba tu, sasa anaprove kwa nani kua yeye sio upinde, no need to say it kila mda kama wewe sio upinde kweli.
Nawaonaga wanafki tu watu kama hao.
Hahaha jamaa hua anachekesha sanaMejja sijui atatakuwa anavuta kiasi gani.