Sauti Sol watishia kujitoa Shirikisho la Hakimiliki baada ya kulipwa Tsh. 242,977 za Mirabaha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda mnooo.
Huku wakijifanya hawataki
Kuna mtu anawaponda sana mashg
Ila kutwa akikaa anasikiliza miziki ya sauti,sasa namuambia we hujuwi kama hao upinde

Ova
 
Hakimiliki ni janga kubwa Afrila Mashariki.

Serikali zetu wanaiba fedha za wasanii kupitia maafisa makusanyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda mnooo.
Huku wakijifanya hawataki
Ni ushamba tu, sasa anaprove kwa nani kua yeye sio upinde, no need to say it kila mda kama wewe sio upinde kweli.

Nawaonaga wanafki tu watu kama hao.
 
Kuna mtu anawaponda sana mashg
Ila kutwa akikaa anasikiliza miziki ya sauti,sasa namuambia we hujuwi kama hao upinde

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada sema 200,000 za Kenya ambazo ni kama 3,600,000. Ndogo Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…