Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Dully hajawahi niangusha toka:mwanasesere,jonita,nyambizi,handsome mpaka inde!
Harmonize ana umwa ungonjwa unaitwa Uchibulaizesheni!anajiona si kitu bila Dai!
Tangia kipindi cha nyimbo za Sharifa, historia ya Kweli , Unifahamu plus chorus kibao.. Dully na T.I.D wataendelea kuwa waimbaji bora wa muziki wa kizazi kipya....
 
Wasafi haitadumu.... na hawatabakia km walivyo hivi sasa.....harmonize is the only loyal kid kwa diamond ...ila yy kuwa loyal kunamfanya mpaka anaiga ujimga... rayvanny is the best artist pale wasafi....cku akiligundua hili atahitaji kusimama kivyake...na yy ndiye atakuwa wa kwanza kuondoka wasafi.....ideologically rayvanny is an enemyfriend to diamond!
 
Mkuu mbona unachanganya mafile..Embu weka maelezo yako kwenye 3D ueleweka..Diamond anahusika vipi kwenye ngoma ya Inde?
 
hahahaaa mambo za bongo flava bhana, bora tuwaachie wanaojua waendelee kulumbana
 
Breathe in.... Breathe out......
Povu vepee mara diamond mara harmonizer ana muiga diamond [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara collabo za wa nigeria unabwabwaja inaonekana una mengi yanakukereketa endelea kupumua humu umalize hasira zko
 
Ivi unadhan raymond katoka tu unajua kasota miaka mengapi pale tip top bila diamond kuja na wazo asingn wcb hadi leo raymond angekuwa bado yupo tip top kwny mawe
 
Umemaliza yote mtoa mada,sina cha kuongeza
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
dully kamuonyesha huyu mmakonde wa mbagala utuuzima dawaa,,hanscana kapoteza mbaya kwenye video,,,,hamonize apunguze udiamond tutashindwa watofautisha sasa maana inakuwa too much
Unajua kitakachofuata ni nini?
Tutaanza kupambanisha Diamond na Harmonize nani zaidi.
 
We dada acha umbeya Fanya maisha yako
 
Haitaji akili za ziada kulitambua hilo kua sauti ni ya Diomond ndo maana na dogo nae imemsababishia kuiga mapoz yote ya jamaa humo je ni nini maana yake ktk kazi ya Sanaa.
 
Kuna watu wana wivu first class kabisa hongera mleta uzi kwa wivu na chuki
WCB homa ya jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…