Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangia kipindi cha nyimbo za Sharifa, historia ya Kweli , Unifahamu plus chorus kibao.. Dully na T.I.D wataendelea kuwa waimbaji bora wa muziki wa kizazi kipya....Dully hajawahi niangusha toka:mwanasesere,jonita,nyambizi,handsome mpaka inde!
Harmonize ana umwa ungonjwa unaitwa Uchibulaizesheni!anajiona si kitu bila Dai!
Breathe in.... Breathe out......Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.
Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.
Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.
Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.
Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.
We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.
Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.
Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.
Kalaghabahoooo
Ivi unadhan raymond katoka tu unajua kasota miaka mengapi pale tip top bila diamond kuja na wazo asingn wcb hadi leo raymond angekuwa bado yupo tip top kwny maweWasafi haitadumu.... na hawatabakia km walivyo hivi sasa.....harmonize is the only loyal kid kwa diamond ...ila yy kuwa loyal kunamfanya mpaka anaiga ujimga... rayvanny is the best artist pale wasafi....cku akiligundua hili atahitaji kusimama kivyake...na yy ndiye atakuwa wa kwanza kuondoka wasafi.....ideologically rayvanny is an enemyfriend to diamond!
Unajua kitakachofuata ni nini?dully kamuonyesha huyu mmakonde wa mbagala utuuzima dawaa,,hanscana kapoteza mbaya kwenye video,,,,hamonize apunguze udiamond tutashindwa watofautisha sasa maana inakuwa too much
We dada acha umbeya Fanya maisha yakoWakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.
Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.
Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.
Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.
Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.
We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.
Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.
Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.
Kalaghabahoooo
hilo mbona halina mdaUnajua kitakachofuata ni nini?
Tutaanza kupambanisha Diamond na Harmonize nani zaidi.