babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
- Thread starter
-
- #61
Haya sasa baada ya kutema sumu zako hebu jipoze na burudani hii ya mapokezi kutoka kwa usiyempenda.maana humo nilipopigia mistari nimejikuta nikupe tu burudani na si malumbano na mtu mwenye chuki hizo.Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.
Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.
Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.
Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.
Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.
We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.
Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.
Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.
Kalaghabahoooo
Kwasasa mmeshabadilisha kauli ya kwamba tuzo sio ishu, na imekuwa ni TUZO NI MUHIMU KWA KULIJUA HILO NIMEKUWEKEA HAPA NAMNA YA KUMPIGIA KURA HARMONIZE. KUMBUKA HANA MDA MREFU KWENYE GEMU NA HUYOOOOOOOOOOO YUPO KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZOWakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.
Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.
Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.
Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.
Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.
We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.
Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.
Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.
Kalaghabahoooo
aisee tafuta kazi kiongozi namna hii we kiboga hakiponiVipi mbona kimya.
Kwasasa mmeshabadilisha kauli ya kwamba tuzo sio ishu, na imekuwa ni TUZO NI MUHIMU KWA KULIJUA HILO NIMEKUWEKEA HAPA NAMNA YA KUMPIGIA KURA HARMONIZE. KUMBUKA HANA MDA MREFU KWENYE GEMU NA HUYOOOOOOOOOOO YUPO KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO
Hii ndio WCB usipoipiga madongo hii utaipiga hipi na upate promo, MTI WENYE MATUNDA URUSHIWA MAWE NA HUYU VIPI MPIGIE KURA.
chezea WCB WEWE.
Vipi hoja yako ushaipotezea ........naona umeamua kutukana tu.Chezea mi wewe.aisee tafuta kazi kiongozi namna hii we kiboga hakiponi
we wakuja tunajua uko ulaya ,kwa lugha iliyopo hapo kwenye caption.
mshauri boss wako kuhusu muziki.km kaishiwa awaambie vijana watunge nyimbo zinazoeleweka wapate tuzo hio ndo maana ya kuwa na lebo.
kuimba sound na kumpa msanii afanye video hakumsaidii chochote,na kafanya hivyo sababu hakutaka video ipiku video yake KIDOGO ma ikaribie.
sasa kubishana na mtu km ww najifikiria mara 20 sijui ulipandaje ndege.halafu hata muda sijui unapata wapi,ila najua uko kwa mama so tulia endelea kupiga kelele mama anatafunwa tako ww unalegeza domo "WCB byeibeeee"
unauhakika au muhemkoHaitaji akili za ziada kulitambua hilo kua sauti ni ya Diomond ndo maana na dogo nae imemsababishia kuiga mapoz yote ya jamaa humo je ni nini maana yake ktk kazi ya Sanaa.
ata mm nshangaa yule n harmonize kbs cyo mond sema haters hawakosag ch kusemaSema dogo kuna vitu vingi anacopy...ninahisi Harmonize alianza kumcopy mond ata kabla yeye mwenyew Harmonize hajatoka kimuziki ndio maana inakua ngumu kubadilika,hii kitu ndo inamsumbua sana huyu dogo
0404
Auunauhakika au muhemko