Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

kuna kutoelewana hapa
nachomaanisha HARMONISE HAJAIMBA HII NYIMBO NI DIAMOND`,

NA duly kapokea msanii toka WCB kufanya nae video mradi chake kimeingia.

Nafkiri kuna dharau hapo,kuna kujivuna,hii nyimbo ilitakiwa iwe ya Duly na Dai,lakini kuna mmoja akaona huyu mwingine hana thamani ya kuwa nae kwenye video.

ndo hapo mayonaise akapewa daraja.
 
domo anawachezesha anavyotaka
sisi watu wa tandale tunajivunia kutoa icon ya taifa
tandale tulikua tunadharaulika kabla ya ujio wa domo

nyie wa mapela endeleeni kuumizwa mpaka mtakapojua dua la kuku halimpati mwewe
 
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo
Haya sasa baada ya kutema sumu zako hebu jipoze na burudani hii ya mapokezi kutoka kwa usiyempenda.maana humo nilipopigia mistari nimejikuta nikupe tu burudani na si malumbano na mtu mwenye chuki hizo.

Pia pata na hii si mbaya,japo sumu yako haitaisha ila itapata nafuu hapa
 
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo
Kwasasa mmeshabadilisha kauli ya kwamba tuzo sio ishu, na imekuwa ni TUZO NI MUHIMU KWA KULIJUA HILO NIMEKUWEKEA HAPA NAMNA YA KUMPIGIA KURA HARMONIZE. KUMBUKA HANA MDA MREFU KWENYE GEMU NA HUYOOOOOOOOOOO YUPO KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO

Hii ndio WCB usipoipiga madongo hii utaipiga hipi na upate promo, MTI WENYE MATUNDA URUSHIWA MAWE NA HUYU VIPI MPIGIE KURA.

chezea WCB WEWE.
 
Huu ni wimbo mbaya mbaya kuwahi kuimbwa ndani ya karne ya 21, pamoja na kuwa sijau skiliza!
 
Kwasasa mmeshabadilisha kauli ya kwamba tuzo sio ishu, na imekuwa ni TUZO NI MUHIMU KWA KULIJUA HILO NIMEKUWEKEA HAPA NAMNA YA KUMPIGIA KURA HARMONIZE. KUMBUKA HANA MDA MREFU KWENYE GEMU NA HUYOOOOOOOOOOO YUPO KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO

Hii ndio WCB usipoipiga madongo hii utaipiga hipi na upate promo, MTI WENYE MATUNDA URUSHIWA MAWE NA HUYU VIPI MPIGIE KURA.

chezea WCB WEWE.

we wakuja tunajua uko ulaya ,kwa lugha iliyopo hapo kwenye caption.
mshauri boss wako kuhusu muziki.km kaishiwa awaambie vijana watunge nyimbo zinazoeleweka wapate tuzo hio ndo maana ya kuwa na lebo.
kuimba sound na kumpa msanii afanye video hakumsaidii chochote,na kafanya hivyo sababu hakutaka video ipiku video yake KIDOGO ma ikaribie.

sasa kubishana na mtu km ww najifikiria mara 20 sijui ulipandaje ndege.halafu hata muda sijui unapata wapi,ila najua uko kwa mama so tulia endelea kupiga kelele mama anatafunwa tako ww unalegeza domo "WCB byeibeeee"
 
Haitaji akili za ziada kulitambua hilo kua sauti ni ya Diomond ndo maana na dogo nae imemsababishia kuiga mapoz yote ya jamaa humo je ni nini maana yake ktk kazi ya Sanaa.
unauhakika au muhemko
 
Huu wimbo nimebaki nawakodolea hawa wanafunz mwanzo mwisho sijui ni nyota ya miaka 30 inanihusu
 
Sasa si wangeandika dully ft diamond tungeelewa zaidi yani copy kila kitu hair style mavazi saut hadi namna jinsi ya kujamba.
 
Mim wakati inaanza hamonaiz kainamishq kichwa nilijua ni daimond ,kumbe hamonize aisee hakuna tofauti,ila nyimbo nzuri inachangamshaa
 
My AMERICAN UGANDAN FANS!!!!!! My
AMERICAN AFRICAN FANS!!! and my All
Word wide Fans!!! Am so excited to tell you
that i will be Performing live on the
SUMMER's ULTMATE EVENT this
September 2nd in LOS ANGELES... tell a Friend!!!
 
Huu wimbo mimi nimeusikiliza...siisikii kabisa sauti ya mond bali naisikia sauti ya Harmonize...kiufupi binafsi kwangu ile sio sauti ya mond..ni Hamonize mwenyewe kabisa mkuu...sielewi wewe imekuchanganyia wapi mkuu..?

0404
 
Sema dogo kuna vitu vingi anacopy...ninahisi Harmonize alianza kumcopy mond ata kabla yeye mwenyew Harmonize hajatoka kimuziki ndio maana inakua ngumu kubadilika,hii kitu ndo inamsumbua sana huyu dogo

ata mm nshangaa yule n harmonize kbs cyo mond sema haters hawakosag ch kusema
 
Back
Top Bottom