Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Huu wimbo mimi nimeusikiliza...siisikii kabisa sauti ya mond bali naisikia sauti ya Harmonize...kiufupi binafsi kwangu ile sio sauti ya mond..ni Hamonize mwenyewe kabisa mkuu...sielewi wewe imekuchanganyia wapi mkuu..?

0404
CHUKI na WIVU wa KIKE ni vitu vibaya sana mkuu..!
 
Dogo anafugwa so he has to do kama master wake
 
Chuki ni mbaya sana,hebu tuuone huu wimbo.
 
Nampenda Dully hachuji na kila siku anaangalia fursa, nani yupo juu anaibuka nae huyo huyo, hahaha raha sana.

Harmo-mapenzi amezidi jamani anaiga mpk swaga duuuh!
 
Dully anasema hakuwa na mpango wa kutoa nyimbo mwaka huu,ile wamempa kama zawadi.
 
 
Mkuu nikulekebishe kidogo lile jengo hawajakodi mondi ndiyo mmiliki
 
Anamaanisha kuwa sauti anayoimba Harmonize si yake, akiwa na maana kiuhalisia ameimba Diamond ila Harmonize kawekwa kama geresha tu. Isikilize vizuri ina make sense.
Kiuhalisia kaimba Diamond???..
 
Dully hawezi kukubali upumbavu km huo
 
Jamani wabongo acheni chuki mbna sauti ni ya harmonize hebu sikiliza ya kwenye vionjo vya indeeeeee moni yani ni harmonize halafu jamani achani ushabiki mavi
Sema sasa tukija kwenye video duh huyu harmonize kacopy sana swagga za bosi wake mpka mapozz
 
 
Bhana kama umesikia sauti ya Simba labda mwanzoni..Baada ya hapo nenda kwa Docta upesi no dalili ya maradhi ya sikio
 
KUMBE KANYEWEST KAISHA PATA WAUMINI KWENYE KANISA LAKE TOKA BONGO. NAONA DULLY NAILE TSHT YAKE YA YEEZUZ ANAIPA PROMO. MUDA SI MREFU UTAWAONA WABONGO WATAKAVYO ZISHADADIA IZO TSHT WENGNE BILA KUJUA HTA MAANA UKE.
 
Amechemkaje sasa?...acha wale maisha na raha za kuimba

Mazoea yanawajaa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…