Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Huu wimbo mimi nimeusikiliza...siisikii kabisa sauti ya mond bali naisikia sauti ya Harmonize...kiufupi binafsi kwangu ile sio sauti ya mond..ni Hamonize mwenyewe kabisa mkuu...sielewi wewe imekuchanganyia wapi mkuu..?

0404
CHUKI na WIVU wa KIKE ni vitu vibaya sana mkuu..!
 
Chuki ni mbaya sana,hebu tuuone huu wimbo.
 
Nampenda Dully hachuji na kila siku anaangalia fursa, nani yupo juu anaibuka nae huyo huyo, hahaha raha sana.

Harmo-mapenzi amezidi jamani anaiga mpk swaga duuuh!
 
Dully anasema hakuwa na mpango wa kutoa nyimbo mwaka huu,ile wamempa kama zawadi.
 
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo
 
Nimelea sana wale wafwasi wa msanii wa sony record
Wanachuki mbili zilizokaa kichwani mwao
1 ni kulinganisha uezo wa mind na msanii wao
2 wote wanaombea dua WCB ife kitu ambacho kwa sasa hakiezekani kwa tathmin iliofanyika WCB ndio studio nzuri yenye ubora kabisa kwa sasa bongo hata jengo walipopangia Lima ubora wa kimataifa kabisa
Poleni sana Sony record
Mkuu nikulekebishe kidogo lile jengo hawajakodi mondi ndiyo mmiliki
 
Anamaanisha kuwa sauti anayoimba Harmonize si yake, akiwa na maana kiuhalisia ameimba Diamond ila Harmonize kawekwa kama geresha tu. Isikilize vizuri ina make sense.
Kiuhalisia kaimba Diamond???..
 
kuna kutoelewana hapa
nachomaanisha HARMONISE HAJAIMBA HII NYIMBO NI DIAMOND`,

NA duly kapokea msanii toka WCB kufanya nae video mradi chake kimeingia.

Nafkiri kuna dharau hapo,kuna kujivuna,hii nyimbo ilitakiwa iwe ya Duly na Dai,lakini kuna mmoja akaona huyu mwingine hana thamani ya kuwa nae kwenye video.

ndo hapo mayonaise akapewa daraja.
Dully hawezi kukubali upumbavu km huo
 
Jamani wabongo acheni chuki mbna sauti ni ya harmonize hebu sikiliza ya kwenye vionjo vya indeeeeee moni yani ni harmonize halafu jamani achani ushabiki mavi
Sema sasa tukija kwenye video duh huyu harmonize kacopy sana swagga za bosi wake mpka mapozz
 
we wakuja tunajua uko ulaya ,kwa lugha iliyopo hapo kwenye caption.
mshauri boss wako kuhusu muziki.km kaishiwa awaambie vijana watunge nyimbo zinazoeleweka wapate tuzo hio ndo maana ya kuwa na lebo.
kuimba sound na kumpa msanii afanye video hakumsaidii chochote,na kafanya hivyo sababu hakutaka video ipiku video yake KIDOGO ma ikaribie.

sasa kubishana na mtu km ww najifikiria mara 20 sijui ulipandaje ndege.halafu hata muda sijui unapata wapi,ila najua uko kwa mama so tulia endelea kupiga kelele mama anatafunwa tako ww unalegeza domo "WCB byeibeeee"
1471035232419.jpg
 
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo
Bhana kama umesikia sauti ya Simba labda mwanzoni..Baada ya hapo nenda kwa Docta upesi no dalili ya maradhi ya sikio
 
KUMBE KANYEWEST KAISHA PATA WAUMINI KWENYE KANISA LAKE TOKA BONGO. NAONA DULLY NAILE TSHT YAKE YA YEEZUZ ANAIPA PROMO. MUDA SI MREFU UTAWAONA WABONGO WATAKAVYO ZISHADADIA IZO TSHT WENGNE BILA KUJUA HTA MAANA UKE.
 
Amechemkaje sasa?...acha wale maisha na raha za kuimba

Mazoea yanawajaa tu...
 
Back
Top Bottom