Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Kaka umetoa elimu ya bure. Kwa wajinga umewatoa gizani. Asante sana kwa hilo
 
Kaeni na njaa zenu siku akili mkipata mda umeenda watu wanapiga pesa
 
Nilikua sijui kumbe KOFFI ANAN ni mwanamziki pia? Pusha T na Kanye west wanafanana kiuimbaji/sauti hauko serious? Bora uendelee kufatilia mziki wa hapahapa Bongo mana huku kwingine unavaa Viatu visivyokutosha.
kofi anan ni jina la wimbo wa yemi alade
 
MSANII NINAYEMKUBALI TZ NI BAGHDAD TU BASI IMOOOOOOOOO
 
mwe! sasa lawama zote kwa mondi? kwani yeye ndo alimtuma shemeji yangu "mayonaizi" amuige? tushishirki wivu jamani.
Rudi kwa mwalimu wako wa STD 1 akufundishe tena jinsi ya kuandika.
 
Povu la wivu limekutoka no point maneno kibao tu yasiyo na mana ebu fata yako ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…