Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Wabongo bwana mnaponda harmonize kwamba anamuiga DAI lkn mnamkubali DESIGNER wa PANDA ambaye anafanana na FUTURE na nyimbo yake ilikamata no1 ktk billboard chart USA, huku unasahau Kuna PUSHA T na Kanye West.

Kama ni mara yako ya kwanza kuwa sikia hawa jamaa ni ngumu kuwatofautisha lkn wote wazuri kwa wenzetu si nongwa sana, ila huku bongo mmmh nongwa na hizi timu zetu zimetufanya tuwe WEHU.

Ukija kwenye kutumia hiyo Inde, kama mfuatialiaji mzuri KILI WANZENZA iliimbwa na wasanii kibao wa Kongo, ukija Azonto ya Dj Fuse ODG wa Ghana imeigwa na WIZKID na ana nyimbo inaitwa azonto kakopi mpaka uchezaji, YEMI ALADE akaja akakopi ktk nyimbo ya KOFFI ANAN ila kufanya harmonize wa WCB chini diamond platnumz mnaponda.

Braza acha KUZUNGUKA KAMA DAWA YA MBU YA KUCHOMA, ww kama mtu humpendi ww sema SIMPENDI basi, sio unakuja kuandika vitu wakati hauna REFERENCE za kutosha.
Kaka umetoa elimu ya bure. Kwa wajinga umewatoa gizani. Asante sana kwa hilo
 
Nilikua sijui kumbe KOFFI ANAN ni mwanamziki pia? Pusha T na Kanye west wanafanana kiuimbaji/sauti hauko serious? Bora uendelee kufatilia mziki wa hapahapa Bongo mana huku kwingine unavaa Viatu visivyokutosha.
kofi anan ni jina la wimbo wa yemi alade
 
MSANII NINAYEMKUBALI TZ NI BAGHDAD TU BASI IMOOOOOOOOO
 
mwe! sasa lawama zote kwa mondi? kwani yeye ndo alimtuma shemeji yangu "mayonaizi" amuige? tushishirki wivu jamani.
Rudi kwa mwalimu wako wa STD 1 akufundishe tena jinsi ya kuandika.
 
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo
Povu la wivu limekutoka no point maneno kibao tu yasiyo na mana ebu fata yako ndugu
 
Back
Top Bottom