Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo
 
Wabongo bwana mnaponda harmonize kwamba anamuiga DAI lkn mnamkubali DESIGNER wa PANDA ambaye anafanana na FUTURE na nyimbo yake ilikamata no1 ktk billboard chart USA, huku unasahau Kuna PUSHA T na Kanye West.

Kama ni mara yako ya kwanza kuwa sikia hawa jamaa ni ngumu kuwatofautisha lkn wote wazuri kwa wenzetu si nongwa sana, ila huku bongo mmmh nongwa na hizi timu zetu zimetufanya tuwe WEHU.

Ukija kwenye kutumia hiyo Inde, kama mfuatialiaji mzuri KILI WANZENZA iliimbwa na wasanii kibao wa Kongo, ukija Azonto ya Dj Fuse ODG wa Ghana imeigwa na WIZKID na ana nyimbo inaitwa azonto kakopi mpaka uchezaji, YEMI ALADE akaja akakopi ktk nyimbo ya KOFFI ANAN ila kufanya harmonize wa WCB chini diamond platnumz mnaponda.

Braza acha KUZUNGUKA KAMA DAWA YA MBU YA KUCHOMA, ww kama mtu humpendi ww sema SIMPENDI basi, sio unakuja kuandika vitu wakati hauna REFERENCE za kutosha.
 
Wabongo bwana mnaponda harmonize kwamba anamuiga DAI lkn mnamkubali DESIGNER wa PANDA ambaye anafanana na FUTURE na nyimbo yake ilikamata no1 ktk billboard chart USA, huku unasahau Kuna PUSHA T na Kanye West kama ni mara yako ya kwanza kuwa sikia hawa jamaa ni ngumu kuwatofautisha lkn wote wazuri kwa wenzetu si nongwa sana, ila huku bongo mmmh nongwa na hizi timu zetu zimetufanya tuwe WEHU. Ukija kwenye kutumia hiyo inde, kama mfuatialiaji mzuri KILI WANZENZA ilimbwa na wasanii kibao wa Kongo, ukija Azonto ya Dj Fuse ODG wa Ghana imeigwa na WIZKID na ana nyimbo inaitwa azonto kakopi mpaka uchezaji, YEMI ALADE akaja akakopi ktk nyimbo ya KOFFI ANAN ila kufanya harmonize wa WCB chini diamond platnumz mnaponda. Braza acha KUZUNGUKA KAMA DAWA YA MBU YA KUCHOMA, ww kama mtu humpendi ww sema SIMPENDI basi, sio unakuja kuandika vitu wakati hauna REFERENCE za kutosha.
usipanik bro,,,tupo tz sisi sio usa baby.
 
Dully hajawahi niangusha toka:mwanasesere,jonita,nyambizi,handsome mpaka inde!
Harmonize ana umwa ungonjwa unaitwa Uchibulaizesheni!anajiona si kitu bila Dai!
Ananiboa Sana asee huyu dogo mayonize kila kitu anaiga kwa boss wake
 
Wabongo bwana mnaponda harmonize kwamba anamuiga DAI lkn mnamkubali DESIGNER wa PANDA ambaye anafanana na FUTURE na nyimbo yake ilikamata no1 ktk billboard chart USA, huku unasahau Kuna PUSHA T na Kanye West kama ni mara yako ya kwanza kuwa sikia hawa jamaa ni ngumu kuwatofautisha lkn wote wazuri kwa wenzetu si nongwa sana, ila huku bongo mmmh nongwa na hizi timu zetu zimetufanya tuwe WEHU. Ukija kwenye kutumia hiyo inde, kama mfuatialiaji mzuri KILI WANZENZA ilimbwa na wasanii kibao wa Kongo, ukija Azonto ya Dj Fuse ODG wa Ghana imeigwa na WIZKID na ana nyimbo inaitwa azonto kakopi mpaka uchezaji, YEMI ALADE akaja akakopi ktk nyimbo ya KOFFI ANAN ila kufanya harmonize wa WCB chini diamond platnumz mnaponda. Braza acha KUZUNGUKA KAMA DAWA YA MBU YA KUCHOMA, ww kama mtu humpendi ww sema SIMPENDI basi, sio unakuja kuandika vitu wakati hauna REFERENCE za kutosha.
Nilikua sijui kumbe KOFFI ANAN ni mwanamziki pia? Pusha T na Kanye west wanafanana kiuimbaji/sauti hauko serious? Bora uendelee kufatilia mziki wa hapahapa Bongo mana huku kwingine unavaa Viatu visivyokutosha.
 
Wabongo bwana mnaponda harmonize kwamba anamuiga DAI lkn mnamkubali DESIGNER wa PANDA ambaye anafanana na FUTURE na nyimbo yake ilikamata no1 ktk billboard chart USA, huku unasahau Kuna PUSHA T na Kanye West kama ni mara yako ya kwanza kuwa sikia hawa jamaa ni ngumu kuwatofautisha lkn wote wazuri kwa wenzetu si nongwa sana, ila huku bongo mmmh nongwa na hizi timu zetu zimetufanya tuwe WEHU. Ukija kwenye kutumia hiyo inde, kama mfuatialiaji mzuri KILI WANZENZA ilimbwa na wasanii kibao wa Kongo, ukija Azonto ya Dj Fuse ODG wa Ghana imeigwa na WIZKID na ana nyimbo inaitwa azonto kakopi mpaka uchezaji, YEMI ALADE akaja akakopi ktk nyimbo ya KOFFI ANAN ila kufanya harmonize wa WCB chini diamond platnumz mnaponda. Braza acha KUZUNGUKA KAMA DAWA YA MBU YA KUCHOMA, ww kama mtu humpendi ww sema SIMPENDI basi, sio unakuja kuandika vitu wakati hauna REFERENCE za kutosha.
Kwa hiyo kwa sababu hao wasanii wengine wameigana so na harmonise amuige tu diamond?? Huo nsio ambao huwa naita uzumbukuku kabisa.yaani kwa kuwa wasanii wa marekani na naijeria wanaigana hivyo ni ruksa wabongo kuigana?au ndio zile za kusema kwa sababu mtoto wa jirani ni mwizi hivyo ni halali mtoto wako kuwa mwizi?
 
Hapo juu kuna mshkaji kasema KOFFI ANAN ni mwanamziki wa Marekani!
 
Denis mtafute mtu yoyote alafu msikilizeshe wimbo wa Kanye West ft push T wa God flow alafu mwambie akwambie tofauti ya sauti.
 
Back
Top Bottom