Sauti ya makundi maalum bungeni haipo

Sauti ya makundi maalum bungeni haipo

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Yaonekana kwa kiasi kikubwa makundi mbalimbali waliochaguliwa na JK haisikiki kabisa. Hii ni kutokana na dominance na uzoefu wa u-ccm na kambi upinzani. Sasa maoni ya watasema lini kama wao wenyewe wanajiona minority kwa kukosa uzoefu wa mambo ya kibunge?
 
Lilikua kosa kubwa sana kuwaruhusu wabunge wa siku zote kuingia humo, wamevuruga kabisa mchakato.

Kama ningelikua mimi ndo mteuzi wa wajumbe ningeliwaweka wananchi wa kawaida 100 tu kwa maana kua kila mkoa majumbe wawili tena mmoja toka kijijini na mwingine kutoka mjini halafu mwenyekiti angekua Issa Shivji, pata picha ufanisi wake, sio hawa watafuna kodi, nachelea kuwatukana.

NB.
Nimechukulia kua Tanganyika ina mikoa 25 tu achilia mbali vimikoa vya kisiasa vilivyoanzishwa kuongeza ulaji.
 
Back
Top Bottom