Sauti ya Mkandara Lufufu kwenye tangazo la ngumi za Azam Tv.

Sauti ya Mkandara Lufufu kwenye tangazo la ngumi za Azam Tv.

Wapo baadhi wameanza kuonesha uthubutu wa kufanya movies kali mfano tamthilia kama "zahanati ya kijiji" iko vizuri. Lakini pia kuna hii movie ya Bunji naona pia imeanza vizuri.
Zahanati ya kijiji si kigeni, walishafanya kina muhogo mchungu kwenye fukuto miaka 20+ nyuma.
Kuna tamthilia fulani waliigizia tanga sijui ni bagamoyo ile, ilikuwa nzuri, hivyo zahanati si ajabu.

Hiyo bunji sijaitizama lakini itakuwa level za zahanati ya kijiji.
Mzee bongo hapa bado sana kutoa kitu kikaitwa "MOVIE KALI” au "BONGE MOJA LA MOVIE"
 
Dj mack utasikia "wanakujaaaa,naweka mic chini angalia mkono"

Ila rufufu was next to none.nilibahatika kufika kwenye chumba alichokuwa anatolea production,aisee it was amaizing
 
Dj mack utasikia "wanakujaaaa,naweka mic chini angalia mkono"

Ila rufufu was next to none.nilibahatika kufika kwenye chumba alichokuwa anatolea production,aisee it was amaizing
Ni maeneo gani huyo bwana alikuwa anafanyia kazi zake?
 
Ki ukweli sauti ya Mkandara Lufufu ilikuwa na upekee fulani hivi ambao haupati kwa watu wengi.
Ila hivi juzi nimeona tangazo la ngumi kati ya Karim Mandonga na Mada Maugo huku kuna jamaa kaingiza sauti kama ya Lufufu akisimulia namna mabondia hao wanavyotafutana msituni.
Sasa mimi nilikuwa naona ili kumuenzi shujaa Mkandara Lufufu (ni shujaa kwa sababu ndie mwanzilishi wa utaratibu wa kuingiza sauti na kutafsiri movies kutoka kwenye lugha za kigeni kuja kwenye kiswahili)
Huyo kijana apewe kuingiza sauti ya Lufufu kwenye movie itakayokuwa imeigizwa kuzingatia maudhui ya kitanzania hasa ikiwa ya kilugha kama kichaga, kihehe, au kisukuma ikionesha harakati za mashujaa wa kitanzania enzi za ukoloni walivyo jaribu kupambana na ukoloni.
Hapa movie inaweza kumhusu Shujaa kama Mangi Meri, Chief Mkwawa, au Mirambo n.k Movie ikiwa kwa mfano ya chief mkwawa kwa lugha ya kihehe na kibena, kijana huyo (Lufufu) itasikika sauti yake kwa kiswahili huku subtitles zikiwa kwa kiingereza.
Au movies nyingine inaweza kuwa pure action huku sauti ya Lufufu (kijana huyo) ikipita kwa maelezo.
Nadhani kwa kufanya hivi tutakuwa tumemuenzi sana Lufufu huku familia yake nayo ikifurahia matunda ya kazi ya baba yao.
Watoto wa marehemu wakimbilie mapema cosota na basata kisha wafungue case labda kama kulikuwa na makubaliano!
 
Dah huyu mwamba kweli pengo lake halitakuja kuzibwa na mtu yeyote, nakumbuka kwenye tafsiri zake za movie alikua anawapachika wahusika majina ya kihaya.

Kuna movie moja nilicheki kitambo Ila nishasahau jina lake hapo movie ikiwa Inanza lufufu mkandala namnukuu akisema. """Wapenzi watazamaji ndugu zangu wapendwa mkandala lufufu video tech iliyopo mbagala dar es salaam inawaletea picha Kali kabisa ambapo jambazi sugu kacheza katika picha hii akiwa anaitwa (KALEKEZI). Duh sema kweli nilicheka sana afu jambazi nilizungu.
Masokolindo wa kwenye deadly play.. Nilipokua mdogo Nilijua ndio jina lake. Kumbe
 
Zahanati ya kijiji si kigeni, walishafanya kina muhogo mchungu kwenye fukuto miaka 20+ nyuma.
Kuna tamthilia fulani waliigizia tanga sijui ni bagamoyo ile, ilikuwa nzuri, hivyo zahanati si ajabu.

Hiyo bunji sijaitizama lakini itakuwa level za zahanati ya kijiji.
Mzee bongo hapa bado sana kutoa kitu kikaitwa "MOVIE KALI” au "BONGE MOJA LA MOVIE"
Bunji hujaitazama unaiwekaje level ya zahanai ya kijiji? anyway Bunji wameanza vizuri sana
 
Nd
Bunji hujaitazama unaiwekaje level ya zahanai ya kijiji? anyway Bunji wameanza vizuri sana
Itakuwa ndio level hizo hizo tu, tasnia yetu ya maigizo haijaemda hatua kubwa kuzidi hapo kina zahanati ya kijiji, tofauti kubwa huwa ni UBORA WA STORY tu, kwingineko wanaachana kwa asilimia ndooogo sana.
 
Sanaa. Ndiye alipaswa kuvaa viatu vya Mzee wetu Mukandala kiukamilifu na kua bonge la tajiri. Sijui anakwama wapi?
Nahisi watu hawajaona over talent aliyonayo huyo kitale. Muone hata sauti anayotumia kwenye kuigiza bwankila
 
Hajamfikia Captain Derick Gasper Mkandala Lufufu

Mpaka sasa sijaona wa kumfunika Mkandala

"Wapeeenzi watazamaji ndugu zanguni wapendwa, Mkandala Lufufu Video Tech iliyopo Mbagala Makuka jijini Daslaam, kwa mara nyingine tena inakuletea picha kali, movie ni The Hard Way the Only Way."

Oyaa huyu mwamba alikuwa anajua aisee
😂😂Alikuwa hatari na nusu
 
Back
Top Bottom