Sauti ya Mkandara Lufufu kwenye tangazo la ngumi za Azam Tv.

Wapo baadhi wameanza kuonesha uthubutu wa kufanya movies kali mfano tamthilia kama "zahanati ya kijiji" iko vizuri. Lakini pia kuna hii movie ya Bunji naona pia imeanza vizuri.
Zahanati ya kijiji si kigeni, walishafanya kina muhogo mchungu kwenye fukuto miaka 20+ nyuma.
Kuna tamthilia fulani waliigizia tanga sijui ni bagamoyo ile, ilikuwa nzuri, hivyo zahanati si ajabu.

Hiyo bunji sijaitizama lakini itakuwa level za zahanati ya kijiji.
Mzee bongo hapa bado sana kutoa kitu kikaitwa "MOVIE KALI” au "BONGE MOJA LA MOVIE"
 
Dj mack utasikia "wanakujaaaa,naweka mic chini angalia mkono"

Ila rufufu was next to none.nilibahatika kufika kwenye chumba alichokuwa anatolea production,aisee it was amaizing
 
Dj mack utasikia "wanakujaaaa,naweka mic chini angalia mkono"

Ila rufufu was next to none.nilibahatika kufika kwenye chumba alichokuwa anatolea production,aisee it was amaizing
Ni maeneo gani huyo bwana alikuwa anafanyia kazi zake?
 
Watoto wa marehemu wakimbilie mapema cosota na basata kisha wafungue case labda kama kulikuwa na makubaliano!
 
Masokolindo wa kwenye deadly play.. Nilipokua mdogo Nilijua ndio jina lake. Kumbe
 
Bunji hujaitazama unaiwekaje level ya zahanai ya kijiji? anyway Bunji wameanza vizuri sana
 
Nd
Bunji hujaitazama unaiwekaje level ya zahanai ya kijiji? anyway Bunji wameanza vizuri sana
Itakuwa ndio level hizo hizo tu, tasnia yetu ya maigizo haijaemda hatua kubwa kuzidi hapo kina zahanati ya kijiji, tofauti kubwa huwa ni UBORA WA STORY tu, kwingineko wanaachana kwa asilimia ndooogo sana.
 
Sanaa. Ndiye alipaswa kuvaa viatu vya Mzee wetu Mukandala kiukamilifu na kua bonge la tajiri. Sijui anakwama wapi?
Nahisi watu hawajaona over talent aliyonayo huyo kitale. Muone hata sauti anayotumia kwenye kuigiza bwankila
 
😂😂Alikuwa hatari na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…