Sauti ya mluzi kifuani wakati wa kupumua

Sauti ya mluzi kifuani wakati wa kupumua

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Kusikilizwa kwa sauti za kifua (Chest auscultation) hutumika kubainisha sauti za pumzi na milio ya sauti ya upumuaji. Sauti za kawaida za kupumua huitwa 'vesicular', hufafanuliwa kuwa tulivu kama sauti ya upepo unaovuma kupitia majani ya mti.

Katika hali mbaya, kifua kinaweza kutoa sauti ya mluzi (Wheezing) wakati wa upumuaji, chukua hatua kama unapata shida za kupumua na maumivu ya kifua nyakati za usiku.

1684325222987.png
 
Back
Top Bottom