Tetesi: Sauti ya Muamala

Tetesi: Sauti ya Muamala

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,981
Reaction score
3,604
Ni sauti adimu na tamu kuipata
Naandika huu Uzi kwa masikitiko makubwa na kwa niaba ya watanzania na vijana wote waliositishiwa ajira 13 June 2016.

Hii sauti ya ATM ina raha zake asikuambie mtu pesa ya mwisho wa mwezi ni ndogo lakini ni ya uhakika pia ni tamu sana.

Ukizoea kulipwa mwisho wa mwezi unageuka kuwa teja wa mshahara.

Ama kweli ukistajabu ya job less utayaona ya work with no salary "Salaryless"

Nawaonea huruma Ndugu zangu wanaopumulia machine kwa kukosa hii sauti ya muamala"ATM"

Utafiti unaonyesha kati ya watu 4 watatu ni vichaa lakini kwa hali ya sasa katika watu 20 waliositishiwa ajira 18 ni vichaa.

JPM JPM JPM Hili jahazi linazidi kuyumba Fanya miujiza mawimbi yatulie.
Sauti ya muamala huleta furaha hata katika majonzi please turudishie furaha yetu
 
Back
Top Bottom