Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.

Your browser is not able to display this video.
 
CCM must go
 
Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...

Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...

BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.
 
Japo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
 
Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...

Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...

BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.
Tulieni nyie UWT
 
Ni Jambo jema
 
Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...

Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...

BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.
Tena diaspora wenyewe sasa hivi wanaishi vyooni kuwakwepa ICE.Sio muda mzuri kuwaomba michango.
 
Pambaneni Dr.Slaa apate dhamana..
 
Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...

Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...

BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.
Hawa ndugu wana ndoto mbaya sana ambazo ni za mdomoni tu!!Hawa jamaa huko nje wana maisha magumu lakini wanamdanganya mwenzao na kumfariji faraja za hovyo.Washindwe milioni 30 halafu waweze bilion!!Labda kwa miujiza
 
Majinga yanayojitafutia umaarufu wa kipuuzi
 
Sauti ya watanzania huwa wapo serious sana ukiwasikiliza , Ila hapo kwenye 1B kwa mwezi. Ngoja tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…