Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.