Tuseme tu ukweli, kuichangia chadema ni kama kuingia bar na kununulia walevi pombe... Hiki chama kinaishi kisanii sana, more than 20yrs chama hakina mradi hata wa kuuza bangi..? Useless kabisa 💩 ifike wakat tuambiane ukweli... Ndio maana waswahili wakasema "Masikini haaminiki hadhaminiki habebeki" yaani zaidi ya miaka 20 chama kazi yake ni kutembeza bakuli tu...
Haya endeleeni kutembeza bakuli, sasa hivi duniani msaada wa pesa za haraka zinazopatikana masharti ni lazima uwe upinde na utangaze upinde🏳️🌈
Huu sio wakati wa kufanya siasa za maji taka na harakati, hizo siasa zilikuwa acceptable miaka 10 iliyopita... Chadema anzeni kukijenga chama kwa kutumia akili na sio kukaza makalio na misuli ya shingo mkiamini kubwatuka na kupiga kelele ndio unaonekana mjanja...
Yaani Mzee Wasila ana miaka 80 anajenga hoja kisomi na kisasa kama kijana wa miaka 40 anawashinda wasomi na vijana wa kisasa kweli..? Tuongee ukweli tu pale chadema nani anaweza kukaa meza moja na Wasira akashindana naye kwa hoja..?
Anyways ukweli mnaujua WaTz wengi 80% hawaipendi ccm hata kidogo 🤣 ila sasa ndio watafanyaje hakuna chama mbadala kinacho jitambua na kuaminika...!