Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 862
- 1,549
Ajabu unajiita Dk akili😏ClubHouse ni kikundi cha watu wanaoishi nje ya nchi yetu kikiongozwa na Maria Sarungi kwa support ya vikundi fulani za wazungu wa ulaya ya magharibi kwa kwa malengo yao fulani yakiwemo ya kigaidi. ClubHouse haina usajili wa Tanzania. Hivyo pesa yo yote watakayoiingiza nchini kwetu itahesabika ni pesa chafu na ye yote atakayeipokea atashitakiwa kwa kosa la money laundering na ugaidi. Pesa ya kufanyia ukombzi wa nchi yetu maana yake ni pesa ya kufanyia uhaini na ugaidi. Nchi yetu ilishajikomboa mwaka 1961, huyo anayetaka kuikomboa tena ni mhaini kwa asilimia 100%. Cha mtema kuni atakipata.
Binafsi nitachanga mil 2 mkuu usichukulie poa.Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...
Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...
BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.
JidanganyeWalioko USA wanapumulia oxygen!
Vijiwe vya kahawa ndio mnadanganyana hivyo?Hawa Sasa hivi wanajificha kwenye mashimo wakiogopa kukamatwa na TRUMP awaerudishe nchini. Hiyo bilioni watapatia wapi?
Bilioni 1 ni hela ndogo sana ikichangishwa nchi nzima.ClubHouse ni kikundi cha watu wanaoishi nje ya nchi yetu kikiongozwa na Maria Sarungi kwa support ya vikundi fulani za wazungu wa ulaya ya magharibi kwa kwa malengo yao fulani yakiwemo ya kigaidi. ClubHouse haina usajili wa Tanzania. Hivyo pesa yo yote watakayoiingiza nchini kwetu itahesabika ni pesa chafu na ye yote atakayeipokea atashitakiwa kwa kosa la money laundering na ugaidi. Pesa ya kufanyia ukombzi wa nchi yetu maana yake ni pesa ya kufanyia uhaini na ugaidi. Nchi yetu ilishajikomboa mwaka 1961, huyo anayetaka kuikomboa tena ni mhaini kwa asilimia 100%. Cha mtema kuni atakipata.
Kuna ubaya nikiramba makalio na k ya bi mkubwa wako?Ungekuwa na akili ungekuwa zwazwa wa kulamba makalio na hatimaye kujiita chawa!!?
Mwenye akili anakula kwa jasho, kwa kupambana na sio kwa hela za bure za kusifia sifia binadamu mwenzako.
Mmmmmmm ya manenoBinafsi nitachanga mil 2 mkuu usichukulie poa.
Utakavyofikiri ni sawa tu.Mmmmmmm ya maneno
Angalia aliposema watachangisha bilioni ona waliopiga makofi kiduchu wengine wamebaki wanamkodolea macho tu kuwa what?Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.
View attachment 3237760
Ulisha shirikiri mazungumzo ya CH sauti ya watanzania hata mara moja?Angalia aliposema watachangisha bilioni ona waliopiga makofi kiduchu wengine wamebaki wanamkodolea macho tu kuwa what?
Halafu huyo katumwa na Lema.Kwa nini aseme wakae na Lema wajadili badala ya kutaka uongozi wa Chadema wakae nao wajadili
Lema anataka akalie fuko la pesa ndcho cheo hasa alikuwa anakiwinda ameona hateuliwi anajiteua mwenyewe kupitia huyo kibaraka wake anayeongea
Point ni kwamba hakuna chama cha siasa kinajengwa na kundi dogo kiasi hicho ..Binafsi nitachanga mil 2 mkuu usichukulie poa.
Diaspora wanaijua hela hasaPoint ni kwamba hakuna chama cha siasa kinajengwa na kundi dogo kiasi hicho ..
Diaspora kuchanga B kwa ajil ya CDM ni mission impossible
Ngoja tuonePoint ni kwamba hakuna chama cha siasa kinajengwa na kundi dogo kiasi hicho ..
Diaspora kuchanga B kwa ajil ya CDM ni mission impossible
Kwa hoja hizi kama huna akili ni huna kabsa na kama unazo bas ni nyingi sana.Tuseme tu ukweli, kuichangia chadema ni kama kuingia bar na kununulia walevi pombe... Hiki chama kinaishi kisanii sana, more than 20yrs chama hakina mradi hata wa kuuza bangi..? Useless kabisa 💩 ifike wakat tuambiane ukweli... Ndio maana waswahili wakasema "Masikini haaminiki hadhaminiki habebeki" yaani zaidi ya miaka 20 chama kazi yake ni kutembeza bakuli tu...
Haya endeleeni kutembeza bakuli, sasa hivi duniani msaada wa pesa za haraka zinazopatikana masharti ni lazima uwe upinde na utangaze upinde🏳️🌈
Huu sio wakati wa kufanya siasa za maji taka na harakati, hizo siasa zilikuwa acceptable miaka 10 iliyopita... Chadema anzeni kukijenga chama kwa kutumia akili na sio kukaza makalio na misuli ya shingo mkiamini kubwatuka na kupiga kelele ndio unaonekana mjanja...
Yaani Mzee Wasila ana miaka 80 anajenga hoja kisomi na kisasa kama kijana wa miaka 40 anawashinda wasomi na vijana wa kisasa kweli..? Tuongee ukweli tu pale chadema nani anaweza kukaa meza moja na Wasira akashindana naye kwa hoja..?
Anyways ukweli mnaujua WaTz wengi 80% hawaipendi ccm hata kidogo 🤣 ila sasa ndio watafanyaje hakuna chama mbadala kinacho jitambua na kuaminika...!
Watu wanapiga hela wewe unaambulia 7000 pamoja na kusifia + kuabudu kote unakofanya.Huu ni ujinga wa kuamini ujinga.Hakuna pesa zozote za Chama zinatolewa bila auditing na kujua zinatumika vipi.Unajua bei ya Yutong mbili au ndio hadithi za kijiweni.
Hakuna pesa zozote za kampeni ni uzushi tu na kujipa umuhimu wa kijinga.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.Kama wewe unaendeshwa na njaa sio wote tuko hivyo.Ndio maana unatoa mfano usio na uhalisia kwani ndio matamanio yako.Mimi najitegemea na sifanyi kazi ya Chama na nina hali nzuri sana kiuchumi.Watu wanapiga hela wewe unaambulia 7000 pamoja na kusifia + kuabudu kote unakofanya.
Pole sana.
Endelea kuwa chawa.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.Kama wewe unaendeshwa na njaa sio wote tuko hivyo.Ndio maana unatoa mfano usio na uhalisia kwani ndio matamanio yako.Mimi najitegemea na sifanyi kazi ya Chama na nina hali nzuri sana kiuchumi.
Hiyo hainizuii kutoa mawazo yangu na kusifia kazi nzuri inayofanyika.
Hata milioni mia hazikufika. Na taarifa haitolewi.Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...
Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...
BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.