Sauti ya watu ni sauti ya Mungu CHADEMA kwa mafuriko haya tumepona. Mapambano yaendelee

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu wa Chadema wa kumgo'a Mbowe ni ushindi na sauti ya Mungu.

Wanachama walizungumza na Lissu akawa mshindi hii ndiyo Demokrasia. Sasa mtu anasema eti ananyanyaswa na uongozi mpya ndiyo sababu ndogo kabisa ya kuhama huo ni udalali.

Chadema ni chama cha wananchi kuhama kwao imeonyesha wazi kuwa chadema ilikuwa chama cha ki SACCOS imethibitisha pasipo shaka.

Mtihani wa uchaguzi ulikipa heshima chama kwa haya yanayofanyika Mbowe hatakuwa na Legacy tena.
 
Bahari inaondoa uchafu,sasa viumbe bahari wataishi kwa amani
athari za kuachwa ni pamoja na kujipa moyo na matumaini kwa kwa kutumia kila neno lafaraja 🤣

kuachwa kunaumiza sana,
kuachwa ni kitu mbaya sana unaweza kuwehuka usipokua makini 🐒
 
Ngoja mkutano ianze, wewe weka akiba ya maneno. Ndio utajua Kuna wanachama na watazamaji
 
Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu wa Chadema wa kumgo'a Mbowe ni ushindi na sauti ya Mungu.

Wanachama walizungumza na Lissu akawa mshindi hii ndiyo Demokrasia. Sasa mtu anasema eti ananyanyaswa na uongozi mpya ndiyo sababu ndogo kabisa ya kuhama huo ni udalali.

Chadema ni chama cha wananchi kuhama kwao imeonyesha wazi kuwa chadema ilikuwa chama cha ki SACCOS imethibitisha pasipo shaka.

Mtihani wa uchaguzi ulikipa heshima chama kwa haya yanayofanyika Mbowe hatakuwa na Legacy tena.
Wasepe sisi kama wenye upeo wa akili kuhusu nchi yetu tuko pale pale
 
Dharau,ubaguzi na kutosikiliza wengine na kujiona ni bora ni sauti ya shetani
 
Back
Top Bottom