Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
athari za kuachwa ni pamoja na kujipa moyo na matumaini kwa kwa kutumia kila neno lafaraja 🤣Bahari inaondoa uchafu,sasa viumbe bahari wataishi kwa amani
athari za kuachwa ni pamoja na kujipa moyo na matumaini kwa kwa kutumia kila neno lafaraja 🤣Bahari inaondoa uchafu,sasa viumbe bahari wataishi kwa amani
Wasepe sisi kama wenye upeo wa akili kuhusu nchi yetu tuko pale paleKilichofanyika kwenye uchaguzi huu wa Chadema wa kumgo'a Mbowe ni ushindi na sauti ya Mungu.
Wanachama walizungumza na Lissu akawa mshindi hii ndiyo Demokrasia. Sasa mtu anasema eti ananyanyaswa na uongozi mpya ndiyo sababu ndogo kabisa ya kuhama huo ni udalali.
Chadema ni chama cha wananchi kuhama kwao imeonyesha wazi kuwa chadema ilikuwa chama cha ki SACCOS imethibitisha pasipo shaka.
Mtihani wa uchaguzi ulikipa heshima chama kwa haya yanayofanyika Mbowe hatakuwa na Legacy tena.
Hakika chama kimerudi mikononi mwa wananchi.Bahari inaondoa uchafu,sasa viumbe bahari wataishi kwa amani