Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Zamani alikuwa na sura tu.. Siku hizi kaongeza na MsamwandaHivi huwa anafanyaga kazi gani?
bei ya lipstick yake tu unalipia nyumba Kimara mwisho mwaka mzima halafu unajibiwa wenzio wanafanya biashara! kumbe ndio biashara yenyewe. Ivumayo haidumu.kuimba ama kupiga marimba vyote utasikika pia
Nimemuona wema kwenye inst ya makonda kaandika hiviShoga nenda kwa Mange, Wema kakinukisha mbayaaa..
Wahi kabla hajafuta...
[emoji3] [emoji3]Ni waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
ndiyo nimeona looohhh!!Shoga nenda kwa Mange, Wema kakinukisha mbayaaa..
Wahi kabla hajafuta...
Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alifika kwenye kituo kikuu cha Polisi kati Dar es salaam baada ya kutajwa kwenye list ya wanaotuhumiwa kwenye utumiaji na biashara ya dawa za kulevya, amewatoa hofu Mashabiki zake.
Wema amesikika kwenye sauti aliyoiweka kwenye mitandao na hapa ninamnukuu anachokisema >>> ‘Nadhani natakiwa kusema kitu sababu najua nina mashabiki, nina watu wananipenda na kunifatilia…. nina watu wanani-support, nina watu wana hofu kuhusu mimi’
‘Nina watu ambao wananijali sana na nina uhakika yani wana wasiwasi sana lakini nataka tu niwaambia kwamba msiwe na wasiwasi‘ –Wema Sepetu
Aligombea ubunge viti maalum CCM mkoa wa SingidaWho's Wema BTW?