Sauti ya Wema Sepetu iliyosambaa akiwatoa hofu Mashabiki

Sauti ya Wema Sepetu iliyosambaa akiwatoa hofu Mashabiki

kuimba ama kupiga marimba vyote utasikika pia
bei ya lipstick yake tu unalipia nyumba Kimara mwisho mwaka mzima halafu unajibiwa wenzio wanafanya biashara! kumbe ndio biashara yenyewe. Ivumayo haidumu.
 
Duhhhh noma sana WEMA SEPETU.....L00K at ur fellow gf,bff,switgals like faraja kotta,Jackline ntanYabaliwe,Nuncy Sumari...where did u do wrong my dear...
 
Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alifika kwenye kituo kikuu cha Polisi kati Dar es salaam baada ya kutajwa kwenye list ya wanaotuhumiwa kwenye utumiaji na biashara ya dawa za kulevya, amewatoa hofu Mashabiki zake.

Wema amesikika kwenye sauti aliyoiweka kwenye mitandao na hapa ninamnukuu anachokisema >>> ‘Nadhani natakiwa kusema kitu sababu najua nina mashabiki, nina watu wananipenda na kunifatilia…. nina watu wanani-support, nina watu wana hofu kuhusu mimi’

Nina watu ambao wananijali sana na nina uhakika yani wana wasiwasi sana lakini nataka tu niwaambia kwamba msiwe na wasiwasi‘ –Wema Sepetu


- Angenyamaza ingemsaidia sana na hao wapambe wake wanazidi kumponza tu, ila naona baada ya Rais kuongea leo Instagram imekuwa kimya sana sijui kwa nini maana toka juzi ilikuwa wanasheria juu ya wanasheria leo kimyaa

le Mutuz
 
Back
Top Bottom