Makala adhimu sana hizi. Ongeza na tupichapichaUlimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za maandishi.
Kurekodi sauti kunapunguza migogoro ya kuelewana vibaya na kurahisisha utumaji wa ujumbe ukiwa njiani au unapotekeleza majukumu mengine, na hivyo kuokoa muda mwingi unaopotea wakati wa kupiga chapa.
Kwa upande mwingine, mlipuko wa video fupi (video clips) kwenye majukwaa kama TikTok na Instagram umebadili kabisa namna tunavyotumia taarifa na burudani, ambapo picha mjongeo na sauti vinachanganywa ili kuvutia umakini wa mtumiaji ndani ya sekunde chache.
Mabadiliko haya yanalazimu biashara, waelimishaji, na waundaji wa maudhui kuachana na makala ndefu na badala yake kuelekeza nguvu zao katika ujuzi wa kuhariri video na kujieleza kwa ufasaha mbele ya kamera ili kuendana na soko la sasa.
Hata hivyo, kuacha maandishi na kukumbatia sauti na video kunaleta changamoto mpya za kijamii, ikiwemo ukiukwaji wa faragha pale ujumbe wa sauti unaposikilizwa hadharani na matumizi makubwa ya bando la mtandao yanayoongeza gharama za maisha ya kidijitali.
Ili kufanikiwa katika ulimwengu huu mpya, kuna haja ya kupata uwiano sahihi ambapo maandishi hayajafutika kabisa, bali yanatumika kama manukuu (captions) yanayosaidia kuelewa na kuongeza nguvu kwenye kile kinachoonekana na kusikika skrini
Makala adhimu sana hizi. Ongeza na tupichapicha
Siku hizi mitandao inayotamba ni ile yenye mfumo wa video clips.. Maandishi hayana nafasi tenaMiaka... Ijayo teknologia itafika mbali sana...
Mada nzuri sanaSiku hizi mitandai inayotamba ni ile yenye mfumo wa video clips.. Maandishi hayana nafasi tena
Ona hata mitandaoni influencers ndio wanatamba zaidi kuliko scholars ... Hata sehemu kama JF mada ndefu wasomaji wanazipotezea.. Wanapenda mada fupifupi zisizofirisha
I hope that generation will find this thread and this comment🔥❤💥💪🏿Mada nzuri sana
Umenifanya kuwaza namna gani dunia itakua mbeleni
Kama maandishi yalikua bora kwa mawasiliano na sasa sio
Hata video zitapitwa na wakati, utafika wakati ambao utakua na kifaa kidogo sana ambapo utaweza kuwasiliana na mtu aliye mbali kama mpo pamoja bila kujali mazingira
I hope that generation will find this thread and this comment
Itasaidia sana, dunia inabadilika kila kukicha, kila binadamu anafurahia dunia kwa wakati wake na kila nyakati zina tofautiI hope that generation will find this thread and this comment🔥❤💥💪🏿
Kuna clip ya wachina nimeona ana command vitu kwa kuwaza tu.. Connection yake ni device moja ndogo sana iliyobandikwa kichwani inayo act kama smart chip.. Inaitwa Brain-Computer Interface (BCI)Itasaidia sana, dunia inabadilika kila kukicha, kila binadamu anafurahia dunia kwa wakati wake na kila nyakati zina tofauti
Kuzijua tofauti ni best hack ya kuyajua maisha
Vitu ambavyo we can't imagine, life got many things to offer ila binadamu ndio hatuelewiKuna clip ya wachina nimeona ana command vitu kwa kuwaza tu.. Connection yake ni device moja ndogo sana iliyobandikwa kichwani inayo act kama smart chip
Brain-Computer Interface (BCI) and neurotechnology systems developed in China.Vitu ambavyo we can't imagine, life got many things to offer ila binadamu ndio hatuelewi
Sio tu Hr asome CV pekee, akiiscan Barcode yako Ataweza kujionea, pictures na video ukiwa mahala pako pa kazi unafanya kazi unayoiomba, na nyingine extra...!💪🏿Kijana jaribu kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia,..angalia dunia ya sasa inataka nini kurahisisha baadhi ya vitu...
kwa sasa unapotuma CV ...aatach na BARCODE YAKO!...
Sio tu Hr asome CV pekee, akiiscan Barcode yako Ataweza kujionea, pictures na video ukiwa mahala pako pa kazi unafanya kazi unayoiomba, na nyingine extra...!
Hii itakufanya wa tofauti...
Nasikitika vijana hawaioni hii chance adhimu...hawaendani na kasi ya mabadiliko ya teknolojia...na hawaioni hii fursa ya kutumia barcode.....hr unamtumia barcord tu inatosha.
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTokKijana jaribu kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia,..angalia dunia ya sasa inataka nini kurahisisha baadhi ya vitu...
kwa sasa unapotuma CV ...aatach na BARCODE YAKO!...
Sio tu Hr asome CV pekee, akiiscan Barcode yako Ataweza kujionea, pictures na video ukiwa mahala pako pa kazi unafanya kazi unayoiomba, na nyingine extra...!
Hii itakufanya wa tofauti...
Nasikitika vijana hawaioni hii chance adhimu...hawaendani na kasi ya mabadiliko ya teknolojia...na hawaioni hii fursa ya kutumia barcode.....hr unamtumia barcord tu inatosha.