Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
David Attenborough champion of the earth by UN! Ndio yule mtangazaji maarufu na pendwa duniani ambae inaaminika sauti yake inathamani ya USD dollar billions aliezaliwa huko uingereza mwaka 1926 amepewa tuzo hiyo kutokana na mchango wake katika mabadiliko ya hali ya hewa na dunia asilia na viumbe vyake. Sir David Attenborough anakumbukwa na documentary yake maarufu ya green planet!