New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
hata mm nlitaka nishauri hivo kwanza...mifla dume bila muonekano mzuri gari itaonekana chombo ya fundiUngetoa hizo rim za jiko ingependeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mm nlitaka nishauri hivo kwanza...mifla dume bila muonekano mzuri gari itaonekana chombo ya fundiUngetoa hizo rim za jiko ingependeza sana
Akichepuka na mke wa mtu na hiyo misauti lazima akamatweMkuu si ungeanza kwanza kuweka rim gari ipendeze?hiyo misauti haina maana sana sana itakukata stimu siku unahitaji kwenda sehemu isiyohitaji makelele afu lenyewe linawika vibaya
sawa boss aina shida basi nitafika huko nita change rim au hata wheel cap nitavalisha kwa muda wakati nikisaka pesa za hizo sports rimhata mm nlitaka nishauri hivo kwanza...mifla dume bila muonekano mzuri gari itaonekana chombo ya fundi
Mi nataka fundi wa rims anayecustomizekumradhi mkuu nilikosea jaribu jina hili hapa ommypainter yupo magomeni angalia kazi zake za rangi mwenywe utachoka
Kama unataka muonekano wa taa kama hizo nenda pale Auto vision wapo pembeni ya shule ya msingi Mapambano.asante mkuu nitawa chek na nitatoa mrejesho hapa,ebwana kama nimekuona jina lako kwenye tgread kadha kuhusu magari ila ni za muda saana tokea 2017 hivi,huko vizuri nikashindwa kudakie thread maana naona kama wausika wameachana nayo,kwa utalam wako haitokua nashida gari.nataka iwe kwenye mtizamo kama hi nimeiokota google.
mkuu
asante mkuu kumbe ni hawo wajapan yeah kuna mdau kanielekeza nataka kuwaona, kuhusu taa hizo mkuu hazi nunuliwi ni body inavutwa kwa mbele nimeongea na fundi rangi anafanya hivyo na yeye alikua ajui nikampa ramani kaielewa ila shukurani sanaaKama unataka muonekano wa taa kama hizo nenda pale Auto vision wapo pembeni ya shule ya msingi Mapambano.
Kama ni mdau wa mlio dume kama wa subaru waone Jet Cruza Otaku wapo kijitonyama kuna mdau kakuelekeza namna ya kuwafikia.
Ili utupigie kelele?!sina uwezo mkuu gari yangu naona inatosha kwa speed nataka zile sauti maana inatia mzuka
hapana kaka, unajua watu wanashindwa kuelewa sitaki kelele nataka base standard ingia youtube search muffler sounds uone kuna moja inaitwa rumble yani standard ila ukisema nazimua ndo sound ina mkaa mwenywe utapenda ila madereva wengi wateza na subaru wana weka zile za kupiga kelele yani zile sio.Ili utupigie kelele?!
Ndio na mimi nimejionea hizo hizo gari ndogo nyingi tuh ila kue na watalaam wazuri wanafanya bila kua na madhara, na wajua hawo jamaa ila siku wahi kuona namba zao pale insta ila nita cheki tena kuna hao wajapan kumbe wana page facebook wanafanya hizo mambo pia, thanks mkuu na follow up na wote hapa.Hata gari za kawaida zinafanyiwa modification tena bila ya kuongeza saiz ya muffler ili itoe sound kubwa.
Nimeona gari ndogo na zenye engine ya kawaida zinarekebishwa muffler hiyo hiyo bila kuongeza ukubwa mfano Nissan Datsun, Suzuki Escudo na Toyota Corolla.
Ingia instagram cheki page ya Old School Rides Tz utaona kuna gari ndogo kama Suzuki Maruti na Escudo jamaa kabadili muffler sound ni C.E.O na fundi anaitwa George utachukua namba zake kama utakuwa unahitaji gari yako akurekebishie.
Ninachokiona ni gari yako ya mwanzo kumiliki nakushauri subiri baada ya miezi mitatu utajiona bonge la mpumbavu na kujuta kwanini ulitaka kuweka kelele.Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe
View attachment 827348
Na engen ya 4a fe ni cc 1500 inakuwaje hiyo gari ifike speed220 mkuu au ndo muingereza kafanya yakeHabari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe
View attachment 827348
kwa kweli hizi gari mtandaoni zinavutia lkn hiyo inayotaka kubadilishwa sijaelewa ni camera iliyotumia au macho yangu.Kaka hizi za jiko deal saana huki zi customize zina kua na muonekano mzuri kuliko hizo sports mayai za sikuizi ila nimekuelewa aina tabu kama hizo za chini hapo
Kwa umri huo kama ndio unaanza kutaka kelele za gari basi siku si nyingi utamwambia mkeo akuwekee POTI chumbani maani ni stage ambayo hukupitia.42 mkuu,napenda steel wheel rims