Mkuu asante saana kwa ushauri wako.
naelewa concern yako hapo vizuri.
Hakuna utoto hapo, wewe ndo uache utoto kufananisha vitu vya kijinga na ma wigi ya wanawake.
Huo mtindo wa kufunga madude kwenye bomba la moshi huwa unaipa shida gari kupumua na ni moja ya chanzo cha matitizo kwenye engine ya gari.
Ndo maana nikanzisha uzi hapa baada ya kufanya reseacrh zangu nikasema sio mbaya nisikilize mawazo ya wadau pia, maana ni kweli hayo madude ya
madhara hasa kama hizi wanazo weka bila kufanya mapping kama wanazo weka kwenye IST,virts etc. kwa hapa bongo sijui hizo mambo na ndo maana nimekuja hapa thanks kwa mdau mmoja kanielekeza wapi wanafanya hizo mambo kitalaam kabisa.
Kama haujui tu, hayo madude ni artificial noise maker kwa maana ya kwamba yanaweka ili kuigiza mlio wa sauti ya magari yenye engine zenye power kubwa kama ferrari, Bugatti, Lamborghini na mengineyo..... Mkuu najua noiser maker mimi kuna sound naipenda hipo standard haipigi kelele kama hizo teza au subaru labda nimekosea kutumia mifano hio aim nilitaka kujua wapi nitapata msaada na nimepata, mimi sitaki milio ya kutoa moto just a standard base a light rumble sound na sina uwezo wa hizo ferrari,buggati...etc nataka hi hi ina nitosha mimi masikini sina uwezo wa hizo.
Milio ya namna hiyo ambayo sio feki unaweza kuipata katika gari kama Subaru forester (sio zote ila zenye engines zenye turbo tu) ambazo huo mlio huwa unatoka mbele kwenye engine na sio huku kwenye exhaust pipe..... hata hi zipo zenye turbo tena safi tuh na aim nifike huko ni install turbo kit na kufanyia hayo yote kwa watalaam ndo maana nilifanya research haja tosha nikaja hapa kucheck maoni ya watu.
Sasa kwa kufunga hilo takataka unakuwa hauna tofauti na wadada wao vaa nywele feki za kizungu ili waonekane ni wazungu na kumbe nywele ni feki na sio za asili. kwako takataka kwangu ni mali, one man's trash is another man's treasure sio ajabu hata baisikeli huna hapo kazi kudanda madaladala na kunuka kikwapa 😀 huna sababu ya kua sarcastic mwanzo umeleweka vizuri ila naona unakuja Kishabiki kumbuka sio kila mtu ana uwezo wakua na subaru,au hizo ferrari.
Pia haina tofauti na kuweka sahani za tairi kwenye gari yako ili ionekane ina rim kali na kumbe ni feki, na sote tunajua kuwa rim za ukweli zipo ingawa ni gharama, ila zipo...... zipo sikatai thanks kwa ushauri, ila kama sijapenda muonekano wake??? mimi si fanyi kwa kuwa pendeza watu acha ujinga! nafanya kwajili yangu nime fanya research zangu na nimependa rim za jiko zikiwa customized zime nivutia kuliko hizo za allo asa kwani vibaya wapo wameshauri vizuri tuh ila unakuja kishari kama una nipa hizo hela.
So bro, acha kuingia gharama ili kuonyesha how fake you can be....just ridhika na uwezo wako wa kumiliki gari ya engine ndogo, utakapo pata gari ya bei utaweza pata huu mlio ambao utakuwa original kabisa..... naingia gharama kwa kupendezesha chombo changu, uja ni saidia kununua
na wala uto nisaidia kungia gharama zijazo pesa yangu. ila thanks watu kama nyie tuna waitaji kwenye kukatisha tamaa ili usikate tamaa maana kukata tamaa ni dhambi.
HI GARI USI DHARAU: for your reference angalia picha hizo sije uka sema 180 ukai jaribu.