Sauti za Gari(Muffler)

ina gear nne tuh mkuu zama google corolla e110 uone specs zake.
Basi gear ratio zake zitakua kubwa kiasi cha kuweza ku-attain speed ya 200+ as maximum speed.. Ina CVT au normal ATF transmission system?
 
Pia hata kuongeza nguvu inawezekana na unafungiwa muffler inayotoa sound unayotaka.
Kuna cresta juzi ilikua inapita mtaan,ilkua ina mlio wa kawaida tu..ila ilivo anza panda kilima kwa mbele ilikua ina mungurumo mzito ule usio na makelele kama ya kina alteza,..je kuna mufler zinazotoa muungurumo wa nguvu bila yle makelele kama yakina subaru na alteza?
 
zipo mkuu ndo nazotaka mimi yani tamu na smart sio kama yale subaru na tezzaa
 
Unachotafuta ni kuongeza fuel consumption bila sababu... Hiyo engine ni ndogo, mzunguko wa mafuta utakuwa mkubwa lakini kwenye engine hujaongeza piston hata moja...
 
Inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…