Sauti za wananchi juu ya juhudi za awamu ya tano mafanikio na changamoto

Sauti za wananchi juu ya juhudi za awamu ya tano mafanikio na changamoto

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo.

Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.
 
Back
Top Bottom