Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Mar 6, 2020 #1 https://www.facebook.com/ Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo. Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.
https://www.facebook.com/ Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo. Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.