BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuna ongezeko la wanawake wenye sauti kali na wanaongea sana compared na wanawake wenye sauti za upole na wanaongea kwa unyenyekevu. Unakuta mwanamke sauti yake ina punch kiasi kwamba akiongea mtu aliyeko umbali wa mita 100 anasikia Kwa ufasaha.
Mnaweza kuwa kwenye mazungumzo ya kawaida ila ukahisi kama unafokewa kumbe ndio namna yake ya kuongea. Uongeaji wa namna hii unanifanya niwe uncomfortable na kupoteza interest ya mazungumzo.
Mnaweza kuwa kwenye mazungumzo ya kawaida ila ukahisi kama unafokewa kumbe ndio namna yake ya kuongea. Uongeaji wa namna hii unanifanya niwe uncomfortable na kupoteza interest ya mazungumzo.