Nyakisese 2
Senior Member
- May 13, 2022
- 164
- 274
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vicobaaa.. Tupo resiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeeh!! Mmehamia na kwenye sauti[emoji134][emoji134][emoji134]
Nguvu ya kiuchumi ipo kwenye makaratasi but in reality nguvu ya uchumi still ipo kwetu wanaume.Nguvu ya kiuchumi waliyonayo sasa nikubwa kuliko wanaume.
Inafika time unaanza kuwaza mwanamke wa design kama hiyo ukimchombeza na maneni matamu ya kimahaba response yake itakuwa Nini?Ukiwa mwanaume halisi huwezi sikia sauti ya mwanamke ikiwa juu yako kwanza siku zote ukihisi mwanamke analeta ujuaji au anabonga sana utajikuta umeshakata ukaribu nae hata awe mrembo Kama malaika kubonga sana ni sumu mbele ya mwanaume
Hahahh kabisa mkuu mi nakaaga pembeni tu sinaga shari tumewazoea acha tuishi nao.Kuna ongezeko la wanawake wenye sauti kali na wanaongea sana compared na wanawake wenye sauti za upole na wanaongea kwa unyenyekevu. Unakuta mwanamke sauti yake ina punch kiasi kwamba akiongea mtu aliyeko umbali wa mita 100 anasikia Kwa ufasaha.
Mnaweza kuwa kwenye mazungumzo ya kawaida ila ukahisi kama unafokewa kumbe ndio namna yake ya kuongea. Uongeaji wa namna hii unanifanya niwe uncomfortable na kupoteza interest ya mazungumzo.