BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuna ongezeko la wanawake wenye sauti kali na wanaongea sana compared na wanawake wenye sauti za upole na wanaongea kwa unyenyekevu. Unakuta mwanamke sauti yake ina punch kiasi kwamba akiongea mtu aliyeko umbali wa mita 100 anasikia Kwa ufasaha.
Mnaweza kuwa kwenye mazungumzo ya kawaida ila ukahisi kama unafokewa kumbe ndio namna yake ya kuongea. Uongeaji wa namna hii unanifanya niwe uncomfortable na kupoteza interest ya mazungumzo.
🤣🤣🤣Na bado.
Na wew unasupport 🤣Ila kuna ukweli flani
Umesema kiukali 😢Na wew unasupport 🤣
Khe kumbe nilikuwa nasemwa mim bas😂Umesema kiukali 😢
Muda wote munawakaaaa 🔥 wakaliiiiiKhe kumbe nilikuwa nasemwa mim bas😂
Ni malezi na wengi ni wachagga! Jana nilikuwa naongea na shemeji yangu (mtu mzima 60+) akapokea simu. Unajua hizi simu za kichina ni kama umeweka loud speaker. Akawa anaongea kwa adabu sana ila aliyekuwa anawasiliana naye (ke) anaongea kwa ukali, mpaka nikasikia….. hunisiki wewe.. kwa Sauti ya ukali. Shemeji akawa uncomfortable na kuongea kwa unyenyekevu (naye mchagga). Baada ya kumaliliza nikamuuliza ni nani. Huwezi amini ni Mkwe wake (mke wa mtoto wake wa kumzaa)! Lakini huwezi amini shemeji yangu alikuwa anaona ni kawaida! Sikutia neno ila …. Ukweli mabinti wa kichagga ni jangaKuna ongezeko la wanawake wenye sauti kali na wanaongea sana compared na wanawake wenye sauti za upole na wanaongea kwa unyenyekevu. Unakuta mwanamke sauti yake ina punch kiasi kwamba akiongea mtu aliyeko umbali wa mita 100 anasikia Kwa ufasaha.
Mnaweza kuwa kwenye mazungumzo ya kawaida ila ukahisi kama unafokewa kumbe ndio namna yake ya kuongea. Uongeaji wa namna hii unanifanya niwe uncomfortable na kupoteza interest ya mazungumzo.
😂😂😅Ni malezi na wengi ni wachagga! .......Ukweli mabinti wa kichagga ni janga
😂MnatusingiziaMuda wote munawakaaaa 🔥 wakaliiiii