Sauti za wanawake zimepatwa na nini?

Ukiwa mwanaume halisi huwezi sikia sauti ya mwanamke ikiwa juu yako kwanza siku zote ukihisi mwanamke analeta ujuaji au anabonga sana utajikuta umeshakata ukaribu nae hata awe mrembo Kama malaika kubonga sana ni sumu mbele ya mwanaume
Inafika time unaanza kuwaza mwanamke wa design kama hiyo ukimchombeza na maneni matamu ya kimahaba response yake itakuwa Nini?
 
Hahahh kabisa mkuu mi nakaaga pembeni tu sinaga shari tumewazoea acha tuishi nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…