Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 39
- 136
Wengi unakuta ni wale wa online marketing π π π π π wanakera wanajiita ma mentorNaonaga kama usumbufu tu..yani mtu ukiwa kwenye group hawa watu wa save to save..kila siku mara save namba na mimi nisave yako ili tuweze kushare bishara.
#MaendeleoHayanaChama
ππππ Status kama ShangaIli akiweka biashara status uone.
Status zao zinakaa hivi---------------------------------------------------------------------------------
Nazani wanapenda zile viewers ziwe nyingi wakipost kituWengi unakuta ni wale wa online marketing π π π π π wanakera wanajiita ma mentor