Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 39
- 136
Habari zenu
Siku hizi kwenye magroup ya WhatsApp kumekuwa na watu wanachukua namba yako na kukufata inbox na kuomba usevu namba zao.
Swali: Kuna faida gani au Biashara gani wanafanya?