matapeli mi na ndugu yangu katapeliwa juzi tuu!
usijaribu kujiunga nao hata kidogo. kuna mdada mmoja ndo jambazi kuu lao anatumia namba imesajiliwa jina wema sepetu.
wanakutapeli hivihivi ukiwa na akili zako timamu cha ajabu mitandao ya simu wala haifungi hizi namba wanazotumia kwa ajili ya kulipa.
wamehack account za facebook kama za Anna makinda; ilikuhamasisha watu wajiunge nao