matapeli mi na ndugu yangu katapeliwa juzi tuu!
usijaribu kujiunga nao hata kidogo. kuna mdada mmoja ndo jambazi kuu lao anatumia namba imesajiliwa jina wema sepetu.
wanakutapeli hivihivi ukiwa na akili zako timamu cha ajabu mitandao ya simu wala haifungi hizi namba wanazotumia kwa ajili ya kulipa.
wamehack account za facebook kama za Anna makinda; ilikuhamasisha watu wajiunge nao
Asante charlie huu basi ni utapeli wa ajabu maana hawa jamaa ni kama wamehalalishwa na serikali yetu wanafanya utapeli kweupe kabisa nafikiri inabidi niwataarifu mamlaka husika nione kama watachukua hatua zozote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.