Sawa Chasambi kakosea, ingekuaje Camara angeudaka mpira?

Sawa Chasambi kakosea, ingekuaje Camara angeudaka mpira?

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Mpira ni mchezo wa makosa, hilo ni kawaida kwa wa mpenzi wa mpira tunakubaliana isipokua wapenzi wa Simba na Yanga.

Ingekuaje Mussa Camara angeamua kuudaka ule mpira? Madhara yangekua yapi katika mechi?
 
Kamara angepigwa red na pigo dogo la faul lingetokea, ingeathiri simba maana angekosa micezo miwili ya league jambo ambalo simba ingeathirika kwenye eneo la goalkeeping. Yote kwa yote YANGA BINGWA.
Azam bingwa
 
Imeshatokea tusahau na kuangalia mbele Kuna nini Ila fadilu aache kufundisha mpira wa back pass na kumuingiza Mutale Kama sub.
 
Kamara angepigwa red na pigo dogo la faul lingetokea, ingeathiri simba maana angekosa micezo miwili ya league jambo ambalo simba ingeathirika kwenye eneo la goalkeeping. Yote kwa yote YANGA BINGWA.
Simbaaaaa bingwaa msimu huu mtajinyonga
 
Back
Top Bottom