Sawa eneo la parking kituo cha treni za SGR kuwa za kulipia

Sawa eneo la parking kituo cha treni za SGR kuwa za kulipia

Khalid nassib

New Member
Joined
May 16, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Kwa maon yangu mimi naona si Sawa eneo la parking pale kituo cha treni za mwendokasi kuwa za kulipia kwa wananchi wanaokwenda kupeleka au kupokea ndugu zao.SIO LAZIMA KILA HUDUMA WANANCHI WAWAJIBISHWE.

Mbona zipo sehemu nyingi tunabanwa kulipia kodi?
 
Back
Top Bottom